Header Ads Widget

Jinsi Linkpesa inavyofanya kazi

 

🏳️🇹🇿Link pesa platform

▬▬▬▬▬▬

📍Link pesa ni nini? Ni (platform) App ya kutengeneza pesa mtandaoni kwa kazi mbali mbali ambazo zimewekwa kwenye app moja.

🍉▬▬▬▬▬▬


📍Je imesajiliwa kama biashara halali? 

App ya linkpesa imesajiliwa kwa namba 587456 BRELA.

Inamilikiwa na kudhaminiwa na kampuni ya MOSSES TECHNOLOGY HELP COMPANY LIMITED yenye usajili wa namba 155795441 BRELA

🍉▬▬▬▬▬▬


📍Je ni Bure kufungua account? 

Ndiyo Ni Bure kufungua account 😉 ila utalipia 13,000 tu ili uweze kuona wallet yako ya link pesa.

🍉▬▬▬▬▬▬


📍Njia gani za zitaniwezesha kupata pesa kupitia Linkpesa APP?


🪽Share link.

Lipwa mpaka level 4 katika mapato ya watu waliopo katika mlolongo wa link yako

🫧Level 1....5000tzs

🫧Level 2...3000tzs

🫧Level 3...2000tzs

🫧Level 4...1000tzs


🪽Uza Matangazo kwa MTH

Tutalipa watu pesa kama utapromote watu kudownload app yetu iliyopo playstore. Tutanunua matangazo mazuri na pesa zako za matangazo tutaweka kwenye balance yako ya linkpesa 


🪽MTH Gawio (mpya) 

Hii ni njia mpya ambayo kila mwenye wallet active ya linkpesa, ataingiziwa pesa mwisho wa mwezi kutokana uwezo wake wa ufanyaji kazi. (siyo lazima uwe na Refferrals) ila system itagawa pesa nyingi zaidi kwa kadri mtu anavyojituma kufanya kazi hapa kiwango cha juu ni hadi 500k


🪽Activation Bonus

Hapa kila unapokuwa na account active utarudishiwa 5000tzs ambayo utaitoa muda wowote.


🪽Uza wazo lako la kibiashara.

Utapata hela kwa kuuza wazo lako la kibiashara, kampuni inanunua wazo lako na kukupa mtaji tu nakupa hadi 500,000 kama wazo lako litakuwa zuri


🪽Kopa PESA 

Utaingiza pesa kwa kukopa kutoka katika kampuni ya MTH, hadi 1,000,000 tunakopesha rudisha kidogo kidogo


🪽Ushindi wa week bure💯

Kila siku system itakuhesabia idadi ya mapato yako kama mapato yako yatakuwa makubwa basi mwisho mwa week utalipwa pesa kwa nafasi za ushindi wako. Ukiwa mshindi wa kwanza utalipwa 15000 ukiwa mshindi wa pili 10,000 ukiwa mshindi wa tatu utalipwa 5000. Bure💯


🪽Kikoba pesa

Chezeni mchezo pesa kupitia team yako Kisha mtalipwa na system automatically kila baada ya siku 7 pindi mchezo unapo kamilisha mzunguko wa kikundi cha idadi ya watu husika.


🪽Uza bidhaa zako kwenye App

Tunaruhusu wafanya biashara kuendesha minaada ya bidhaa zao kwenye app ya link pesa. Tutakusaidia kuuza bidhaa zako na zitauzika kwa haraka utapata wateja. Tunakaribisha wafanya biashara wote


🪽Videos za YouTube

Utaingiza pesa kwa kutazama videos za YouTube zilizowekwa kwenye app ya linkpesa

Video fupi ni 50tzs ndefu ni 300tzs. Cheza videos nyingi upate pesa nyingi


🪽Videos za Facebook 

Utaingiza pesa kwa kutazama videos za Facebook zilizowekwa kwenye app ya linkpesa

Video fupi ni 50tzs ndefu ni 300tzs. Cheza videos nyingi upate pesa nyingi.


🪽Videos za Instagram 

Utaingiza pesa kwa kutazama videos za Instagram zilizowekwa kwenye app ya linkpesa

Video fupi ni 50tzs ndefu ni 300tzs. Cheza videos nyingi upate pesa nyingi


🪽Videos za TIKTOK 

Utaingiza pesa kwa kutazama videos za TIKTOK zilizowekwa kwenye app ya linkpesa

Video fupi ni 50tzs ndefu ni 300tzs. Cheza videos nyingi upate pesa nyingi


🪽WHATSAPP VIEWS

Utaingiza pesa Kwa kushare matangazo na bidhaa za kampuni kwenye status zako za whatsapp utalipwa pesa kutokana na idadi ya views wako.


🪽Live Games, Zungusha SPIN

Lipwa pesa kwa kucheza magame ya kwenye link pesa app na ulipwe pesa kwa kila ushindi unaopata.


🪽Jibu maswali lipwa

Hapa utalipwa maswali mbali mbali ya utafiti wa kampuni, ukijibu sahihi utalipwa kwa kila swali 100tz jibu maswali mengi ulipwe zaidi


🪽Songesha

Hapa utaomba pesa kwa upliner wako ili kukamilisha withdrawal yako kama umepungukiwa pesa ya katika wallet yako ya LINKPESA.


🪽FOREX BITCOIN PESA

hii ni elimu bure kuhusu sarafu za kidigitali na jinsi ya kutrade forex inayotolewa ndani ya app ya linkpesa bure kabisa  


🍉▬▬▬▬▬▬

📍Kwanini sisi ni bora?

🍋‍🟩Tuna APP playstore tofauti na platform zingine ambazo hazina app playstore. 

🍋‍🟩Kampuni iko verified na WHATSAPP hii inamaanisha ni biashara halali na tunatambulika kisheria

🍋‍🟩Linkpesa inasimamiwa na kampuni linalolipa kodi TRA usalama kwako na kwa wateja wako

🍋‍🟩Pesa zote zinaunganishwa kwenye balance na zinatoka zote tofauti na platform zingine

🍋‍🟩Activation Automatic na withdrawal ni Automatic hapo hapo hauna haja ya kusubirishwa unatoa pesa muda wowote hata usiku 

🍋‍🟩Uimara wa platform na ulinzi wa pesa zako, tunahakikisha usalama wa taarifa zako. 

🍋‍🟩Unapata PESA nyingi sana kwa muda mfupi. Ukilinganisha na platform zingine

🍋‍🟩Mentors wenye uzoefu wa kutoa mafunzo jinsi ya kutengeneza pesa zaidi na nyingi kwa siku.


🍉▬▬▬▬▬▬

©️CEO MOSSES

©️MTHCOLTD

©️LINKPESA 2024-2025

Post a Comment

0 Comments